MAMLAKA ya Mawasiliano nchini Kenya (CAK) imevitaka vyombo vya habari nchini humo kusitisha matangazo ya moja kwa moja ya maandamano yaliyof . . .
RAIS Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na kuhamisha viongozi mbalimbali, wakiwemo wakuu wa mikoa watano na wakuu wa wilaya 17. Hatua . . .
JUZI Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alitoa maagizo saba kwa taasisi za umma na watumishi wa umma kuhusu mifumo kusomana akilenga dhamira ya se . . .
WADAU wa siasa wamesema bunge lijalo linaweza kuwa na wabunge wengi wapya kutokana na wabunge wanaomaliza muda wao wengi kutotatua changamot . . .
Kocha wa klabu ya WYDAD AC Mohamed Amin Benhashem, na daktari wa timu Abdel -razzaq Haifti wamepata ajali Mbaya ya Barabarani huko Wa . . .
AS Monaco imefikia makubaliano na Barcelona ya kumsajili winga wake Ansu Fati kwa mkopo wenye chagua la kumnunua moja kwa moja Ansu Fat . . .
Klabu ya Olympique Lyon Rasmi imeshushwa daraja kutoka Ligi kuu ya Ufaransa (Ligue 1) hadi Ligi Daraja la Pili (Ligue 2) lakini bado wanaruh . . .
Iran imetekeleza adhabu ya kuwanyonga majasusi watatu wa Israel waliokuwa wakitumikia kifungo katika Gereza la Urmia Mkoa wa Azerbaijan Magh . . .
Simba imethibitisha kucheza mechi ya Ligi Kuu dhidi ya Yanga ‘Kariakoo Derby leo d kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.Mechi hiyo imepangwa ku . . .
Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa China inaweza kuendelea kununua mafuta ya Iran baada ya Israel na Iran kukubaliana kusitisha mapi . . .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasili Jamhuri ya Msumbiji 24 Juni 2025 ambapo anatarajiwa kuwa Mg . . .
Watanzania 42 waliokuwa wamekwama nchini Israel kwa sababu ya mapigano kati ya nchi hiyo na Iran watarejea nchini leo tarehe 25 Juni 2025, k . . .
Serikali imesema imekuwa ikiongeza fedha za mikopo ya elimu ya juu mwaka hadi mwaka ili kuwawezesha wanafunzi wote wakiwemo wenye mahitaji m . . .
Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam limewahakikishia usalama wananchi katika mechi ya Simba na Yanga inayotarajiwa kuchezwa kesho . . .
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka wananchi kutopata hofu kuhusu deni la Taifa pale linapotangazwa, kwani deni hilo lina sehemu . . .
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Dustan Kitandula alisema hayo bungeni Dodoma juni 23 alipoeleza mafanikio ya sekta ya utalii wakati aki . . .
MBUNGE wa Jimbo la Kinondoni, Abbas Tarimba, amesema atasimamia ukweli kwa kueleza na kutetea mazuri yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassa . . .
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa maagizo saba kwa taasisi za umma na watumishi wa umma kwa lengo la kuimarisha utendaji kazi.Ametangaza k . . .
Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Wakala wa Nishati Vijijini (REA) unatekeleza miradi ya umeme katika vitongoji kwa kuzingatia . . .
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limemteua Dk Alicia Massenga kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando, iliyopo . . .
Kesi iliyofunguliwa na Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kutoka Zanzibar, imepangwa kusikilizwa J . . .
Dk. Mwinyi alitoa kauli hiyo leo, Juni 23,2025 wakati akihutubia hotuba ya kulifunga baraza hilo huko Chukwani, Zanzibar, ambapo alisema uko . . .
Katika taarifa iliyotolewa usiku wa kuamkia leo Jumanne Juni 24, 2025 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Moses Kusiluka, Rais Samia amemteua Es . . .
BAADHI ya wabunge wa vyama vya Democrats na Republican wamelitaka bunge la Congress kupitisha uamuzi wa kuzuia Amerika kuingilia mapigano ya . . .
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni atawania kuchaguliwa tena kwa muhula mwingine wa uchaguzi unaotarajiwa mapema mwaka ujao ili kuongeza utawal . . .
Wakati mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea jijini Dodoma Juni 24, 2025 pamoja na mambo mengine wabunge wata . . .
Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya Kibaha Mkoa wa Pwani imetoa hukumu ya kifungo cha maisha jela kwa Yasini Hassan Kibabu, Miaka 19, Mkulima na . . .
Rapper na producer maarufu kutoka Marekani, Russ, ameweka wazi mtazamo wake kuhusu tatizo la msongo wa mawazo (depression) linalowakumba wat . . .
Mwanamuziki maarufu kutoka Nigeria, Tiwa Savage, amefunguka kuhusu safari yake ya muziki, akieleza kuwa alipoanza hakufikiria sana kuhusu fe . . .
Mahakama Kuu Kanda ya Mtwara, imewahukumu kunyongwa hadi kufa maofisa wawili wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara, waliokuwa wakikabiliwa na ke . . .
Kwa mara ya kwanza katika historia ya mpira wa Tanzania inaenda kushuhudia mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania NBC kwenda kuamuliwa na Waamuzi ku . . .
Serikali imesema imewekeza nguvu kubwa katika mapambano dhidi ya dawa za kulevya kupitia Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevy . . .
Waamuzi wa mchezo wa Derby kati ya Yanga SC vs Simba SC wanatoka Misri na Somalia.Mwamuzi wa kati - Amin Mohamed Amin Omary (Misri)Ass . . .
WATU wanaougua ukambi wamekuwa wakiongezeka duniani katika miaka ya hivi karibuni. Mnamo mwaka wa 2023, kulikuwa na visa milioni 10.3 dunian . . .
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, akiambatana na Mwenza wake Mama Mbonimpaye Mpango, wameungana na mael . . .
Shai Gilgeous-Alexander mchezaji nyota wa timu ya The Oklahoma City Thunder ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa fainali ya ligi ya mpira wa k . . .
Mshauri wa Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei ameahidi kwamba kambi zinazotumiwa na majeshi ya Marekani kufanya mashambulizi dhidi . . .
Rais wa Sierra Leone, Julius Maada Bio, amechaguliwa kuwa Rais wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) Juni 22, wa . . .
Wiki moja baada ya kutoweka kwa meli, ambayo ilitakiwa kusafiri kutoka bandari ya Majunga, Madagascar, hadi Mutsamudu, mji mkuu wa kisiwa ch . . .
SERIKALI imesema imeandaa jumla ya mipango ya matumizi bora ya ardhi 2,480 katika kipindi cha miaka minne, ambapo vijiji 4,679 vimewekwa kat . . .