Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Mhe. Charlotta Ozaki Macias, alipofika Ikulu Zanzibar kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini. Mazungumzo hayo yalifanyika katika Ukumbi wa Ikulu Zanzibar, leo tarehe 14 Julai, 2026.