PAPA LEO XIV ATEMBELEA MSIKITI MKUU ALGIERS

Papa Leo XIV ametembelea Msikiti Mkuu wa Algiers, msikiti wa tatu kwa ukubwa duniani baada ya ule wa Makka na Madina.


Akiwa huko, amelakiwa na viongozi wa msikiti huo na kushiriki mazungumzo ya kidini yanayolenga kuimarisha mahusiano na uelewano kati ya dini mbalimbali.

10YrsJembefm  #Familiamoja #AhsantekwaTime


Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii