Wananchi wa Kijiji cha Idodi mkoani Iringa wamejitokeza kwa wingi kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu na Mbunge wa Isimani, William Vangimembe Lukuvi, kabla ya ibada maalum ya mazishi.
Hata hivyo waziri Mkuu Mwigulu Nchemba anatarajiwa kuongoza shughuli za mazishi leo Machi 31, 2026, huku ikikumbukwa kuwa marehemu alifariki tarehe 25 Machi, 2026 katika Hospitali ya Benjamin Mkapa alipokuwa akipatiwa matibabu.
10YrsJembefm #Familiamoja #AhsantekwaTime