Matukio mbalimbali ya siku ya kwanza ya shughuli ya kimila ya Kundi rika la vijana takriban 500 wa Mkoa wa Arusha na Manyara Oktoba 19 mwaka huu jijini Arusha ambapo Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo iliwakilishwa Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Utamaduni Dkt. Resan Mnata.
Shughuli hiyo ya kimila ya kufungua msimu wa tohara kwa mwaka 2025 - 2032 unaombatana na mafundisho mbalimbali ambao hufanyika kila baada ya miaka 7.