Rais Samia Aongoza Waombolezaji Kuaga Mwili Wa Hayati Job Ndugai

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akitoa heshima za mwisho kwenye jeneza lenye mwili wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Job Yustino Ndugai katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma tarehe 10 Agosti, 2025.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii