RC Sendiga akagua mabanda Maonesho ya Wakulima Kanda ya Kaskazini

Mkuu wa mkoa wa Manyara, Queen Sendiga mapema hii leo Agosti 5, 2025 amekagua mabanda mbalimbali katika maonesho ya Wakulima nane nane na kujionea shughuli mbalimbali, ikiwemo za Kilimo na Mifugo.


Maonesho hayo ya Kanda ya Kaskazini yaliyoanza Agosti Mosi, 2025 yanafanyika katika viwanja vya Themi vulivyopo Njiro jijini Arusha na yanazinduliwa rasmi hii leo Agosti 5, 2025 na mgeni Rasmi ambaye ni Mkuu huyo wa mkoa wa Manyara, Queen Sendiga.


Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii