PAMBA JIJI YAISHUSHA DARAJA KAGERA SUGAR, YANGA KAMA KAWAIDA

Baada ya klabu ya Pamba Jiji kushinda 2-0 ugenini dhidi ya KenGold sasa ni rasmi klabu ya Kagera Sugar imeungana na Ken Gold kushuka daraja.

Kagera hawawezi kuzifikia alama 29 walizonazo Fountain Gate waliopo nafasi ya 14 hata kama watashinda michezo yako miwili iliyosalia ya ugenini.

Klabu ya Yanga imeendeleza rekodi yake ya kuendelea kushinda baada ya kuifunga Namungo 3-0 na kujikita kileleni mwa Msimamo kwa tofauti ya alama nne.


Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii