Miwani ya kumtambua msema uongo

Wataalamu Nchini Singapore, wametengeneza miwani ambayo inaweza kumbaini mtu anayesema uongo.

Kwenye Miwani hiyo kuna kidude cheusi usawa wa masikio na ndani yake kuna sensa maalumu ya kutambua uongo, kwahiyo ukisema tu uongo basi ina sensi na kupiga kengengele.

bunifu huu umekuja baada ya ndoa nyingi nchini humo zinakosa furaha, kutokana na Wanandoa kuwa waongo sana kwa wenza wao.

Inaarifiwa kuwa hadi kufikia sasa ndoa zaidi ya 100 zimevunjika na Wanawake wamekuwa wakiachwa na watoto, kibaya zaidi Wafanyakazi zaidi ya 200 wamefukuzwa kazi baada ya kusema uongo na sasa Miwani hiyo inaendelea kupendwa zaidi.

Sema nasikiaga hapa Bongo kuna watu wanatengeneza radi ni basi tu hatujitangazi (hahahahaahahaa), natania jamani ….  Ila naomba sana yani maana ikija hapa kwetu hii Miwani tumekwisha.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii