Alikiba atoa shukrani baada ya kupokea fedha za mrabaha

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Alikiba ameandika kuwa: “20 years in the game, jana nimepata mrabaha wa kwanza, imechukua muda lakini mwanzo mzuri. Sheria ya hakimiliki imeanza kufanya kazi. Asante Mh. Rais @suluhusamia kwa utekelezaji huu wa sheria. Wizara ya Sanaa na Utamaduni, COSOTA kwa kufanikisha. Kazi iendelee.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii