Waziri Nape ameyasema hayo leo januari 31 alipotembelea ofisi za kampuni ya Multichoice Tanzania DStv ikiwa ni sehemu ya ziara zake kwa wadau wa Wizara anayoingoza.
Ameongeza kuwa Serikali imefanya mapitio ya kabuni za sekta ya Utangazaji nchini na kuwajibu wa marekebisho hayo sasa visimbuzi vyote vya antena DTT vile vya dish DTH vitaeuhusiwa kubeba channel hizo.
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye ametangaza kurejeshwa kwa chanel za Tanzania ambazo hazilupiwi kwenye mfumo wa moja kwa moja wa moja wa Satelite DTH kuanzia wiki ijayo.
Waziri Nape ameyasema hayo leo januari 31 alipotembelea ofisi za kampuni ya Multichoice Tanzania DStv ikiwa ni sehemu ya ziara zake kwa wadau wa Wizara anayoingoza.
Ameongeza kuwa Serikali imefanya mapitio ya kabuni za sekta ya Utangazaji nchini na kuwajibu wa marekebisho hayo sasa visimbuzi vyote vya antena DTT vile vya dish DTH vitaeuhusiwa kubeba channel hizo.
Chanel hizo ni kama Clouds tv, Eatv,ITV, Chanel Ten, Stat Tv, Imaan Tv, Upendo Tv na nyingine.