Ni January 25, 2022 ambapo Mahakama imetoa uamuzi wa kesi iliyomkabili rapper Cardi B dhidi ya Mwanadada Tasha K.
Mahakama hiyo imemkuta hatiani Tasha K na kumtaka amlipe fidia ya Bilioni 2.89 kama uharibifu na Milioni 577 za kitanzania kama gharama za Matibabu.
Cardi B alimfikisha Tasha K Mahakamani mnamo January 14, 2022 kwa kumshtumu kumchafua mitandaoni.