madaktari bingwa kutoka saudia rabia na madaktari wa tanzania wamefenye upasuaji wa wagonjwa 50 katika wilaya ukerewe mkoani mwanza.
mkuu wa wilaya ya ukerewe kanali denis mwila ameeleza kuwa wiki moja waliotoa huduma ya kitabibu ya upasuji kwa wakazi wa ukerewe 50, lakini pia wameweza kutoa huduma ya ushauri na nasaha kwa wananchi 200.
Kutokana na jografia ya wilaya ya ukerewe upatikanaji wa huduma za afya ni hafifu hasa kipindi hiki cha mvua ziwa linachafuka na inasabisha huduma ya usafiri kukosekana wakati wa kuelekea kwenye hospitali.