Norway imesema inajiandaa kuanza majaribio ya Mabasi ya Abiria yasiyokuwa na Dereva ambayo yataanza majaribio kuanzia April 2022,Mabasi hayo yametengenezwa na Kampuni ya Kituruki ya Karsan na yana uwezo wa kubeba abiria 50 na yana urefu wa Mita 8,Seat 21 na eneo la Watu kusimama.