Tamasha la sauti za busara (sound of wisdom) limekuwa moja ya tamasha pendwa Afrika mashariki na hata Afrika kwa ujumla kutokana na namna tamasha hilo lilivyobeba.
Maudhui mbalimbali ya muziki ikiihusisha wasani kutoka mataifa mbalimbali ambao pia wameweza kuonyesha tamaduni kutoka mataifa yao.
Mwaka 2022 kauli mbiu ya sauti za busara ni "TUNAKOMAA"na tamasha hili linatarajiwa kufanyika kwa siku 3,kuanzia tarehe 11-13feb katika mji wa kihistoria Zanzibar Ngome kongwe.
ORODHA YA WASANII
Ni kutoka nchi zisizopungua 11,ikiwe Tanzania,Africa kusini,Tunisia,Morocco,Zimbambwe,Zambia,Uganda,n.k.
wakiwemo Nomfusi,Sampa the great,Msaki,Sholo Mwamba, na wengine wengi.
KARIBU SAUTI ZA BUSARA, KARIBU ZANZIBAR