Diamond, Director Kenny Watwaa Tuzo AEAUSA

NYOTA wa muziki kutoka WCB, Diamond Platnumz ameshinda tuzo ya msanii bora wa mwaka barani 2021 barani Afrika kwenye tuzo za African Entertainment Awards USA (AEAUSA) zilizotolewa usiku wa jana, New Jersey nchini Marekani.


Mtanzania mwingine aliyeshinda ni mtayarishaji Director Kenny ambaye ameshinda tuzo ya mtayarishaji bora wa video wa mwaka.

Mkali mwingine kutoka nchini Nigeria Wizkid ameshinda tuzo ya msanii bora wa kiume ambayo ilikuwa inashindaniwa na wasanii kadhaa. Wizkid pia ameshinda kipengele cha wimbo bora wa mwaka ambao ni Essence.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii