MSANII CHIKE AMETULETEA THE BROTHER’S KEEPER

The brother’s keeper ni album ya pili ikifuatia album yake ya kwanza ambayo ilikuwa inafahamika kwa jina la Boo of the Booless ambayo ilifanikiwa na wimbo kama Running to you.

The Brother’s Keeper ni album yenye nyimbo 16 ndani yake akiwa ameshirikiana na wasanii watatu tu ambao ni Azana kutoka Afrika ya kusini na ycee Pamoja na flavour kutoka nchini Nigeria.


Kwa mujibu wa Chike album hii ameipa jina la The Brother’s keeper kwa sababu ya namna ambavyo wasanii wenzake kama simi na Mayorkun namna walivyokuwa upande wake Flavour na yeyote aliyefanikisha kuwa awe msichana au mvulana ,mwanamme au mwanamke.

Album hii imeandaliwa na watayarishaji wengi akiwemo ogaga sakpaide,Deeyasso,TY Mix,Killertunes,Echo the Guru,Louddaa,Sagzy Afroshii,Lord sky Pamoja na Masterkraft.

His nadir orodha ya nimbi zinazopatikana katika Album ya The Brother's Keeper.


 

 


Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii