Xlim Jay ni Msanii kutoka nchini Nigeria Mwenye makaza Yake nchini Africa ya Musani ambaye amekuwa akifanya muziki kwa kipindi Kirefu na sasa ameamua Muziki wake uzidi kwanta Mali zaidi kwa kuendelea kumanya kolabo Kubwa zaidi baada ya kufanikiwa kufanya kazi na Runtown sasa ameamua kuungana Jaywillz na kuamua kufanya kazi Pamoja ambayo inafahamika kwa jina la MARATHON.
MARATHON ni wimbo ambao kwa sasa unaendelea kufanya vizuri kupitia platforms na chats mbalimbali ikiwemo youtube ambayo video Yao inaendelea kufanya lizuri.