Shirika la juu la Umoja wa Mataifa linasema Ukanda wa Gaza ni sehemu hatari sana duniani ukiwa mtoto wakati mashambulizi ya kijeshi ya Israel katika eneo hilo yanaua na kujeruhi maelfu ya watoto . . .
Papa Francis amewaruhusu mapadre kuwabariki wapenzi wa jinsi moja, yakiwa ni maendeleo makubwa kwa watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsi moja na mahusiano mengine ya kijinsia wanaofahamika kama LGBT kati . . .
Umoja wa Ulaya, (EU), Jumatatu umeiwekea Russia, vikwazo vipya kutokana na vita vyake dhidi ya Ukraine, ikilenga sekta ya almasi yenye faida kubwa, maafisa na mashirika zaidi ya 140, na kuziba mianya . . .
Rais wa Marekani, Joe Biden, aliondoka eneo la ajali bila kujeruhiwa baada ya gari kugonga SUV iliyokuwa sehemu ya msafara wake wa rais Jumapili usiku.Video za tukio hilo zilizosambaa kwenye mitandao . . .
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema serikali kupitia wizaya ya kilimo imapanga kuendeleza zao la chai nchini ambapo katika hilo mnada wa chai utakuwa unafanyika hapa Dar es salaam.Aidha Waziri Bash . . .
Jeshi la Polisi kupitia kikosi cha kupambana na kuzuia wizi wa mifugo nchini limesema kwa kipindi cha mwezi januari mpaka novemba mwaka huu limefanikiwa kukamata mifugo 8970 iliyokuwa imeibiwa maeneo . . .
Rais wa Russia, Vladimir Putin, Jumapili aliapa kuifanya Russia, kuwa huru na kujitegemea mbele ya nchi za Magharibi, katika hotuba yake ya kwanza ya kampeni kabla ya uchaguzi wa Machi na kuongeza mud . . .
Serekali ya Pakistani imepunguza kwa muda kasi ya huduma ya intaneti na kuzuia upatikanaji wa mitandao maarufu ya kijamii Jumapili wakati wa maandamano ya nadra katika mitandao yaliyo andaliwa na cham . . .
Mkataba huo, umetiwa saini jijini Nairobi, mbele ya rais wa Tume ya Umoja wa Ulaya Ursula von Der Leyen na rais William Ruto katika Ikulu ya Nairobi.Mkataba huo unaeleza kuwa Kenya, itafungua soko lak . . .
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, amesema eneo la ununuzi wa umma limekuwa likiripotiwa kugubikwa na vitendo vya rushwa na ubadhirifu ambap . . .
Yilmaz Tunc, waziri wa sheria wa Uturuki, aliwaambia waandishi wa habari kwamba Ankara ilifanya mazungumzo na mamlaka ya mahakama ya Somalia juu ya kumrudisha Mohamed Hassan Sheikh Mohamud katika siku . . .
Hamas imekuwa ikijenga miundombinu yake chini ya ardhi na juu ya ardhi huko Gaza, kwa zaidi ya muongo mmoja na kwamba kuliangamiza kundi hilo la Ki-islamu kutahitaji muda mrefu. Itachukua zaidi ya mie . . .
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho wa Wakuu wa Wilaya sita ambapo amemuhamisha Maveka Simon Maveka kutoka Wilaya va Chunya kwenda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kongwa na Remidius Mwe . . .
Urejeshaji wa miundombinu ya barabara iliyokuwa imeharibiwa na maporomoko ya matope na mawe yaliyotokea Desemba 3, 2023 katika Mji wa Katesh uliopo Wilayani Hanang’ Mkoani Manyara umefikia asilimia . . .
Waziri Mkuu wa Japan, Fumio Kishida anatarajiwa kuwatimuwa Mawaziri na Manaibu Mawaziri wa Serikali yake wapatao 15, sambamba na Viongozi wengine wa Ngazi za juu Serikalini, wanaochunguzwa kwa kukutwa . . .
Jumla ya visa 1,166 vya maambukizi vimeripotiwa nchini Kenya, Malawi, Uganda, Zambia na Zimbabwe. Visa 37 vimethibitishwa na vipimo vya maabara. WHO imesema Jumatatu kuwa nchi hizo tano zina milipuko . . .
Malalamiko ya kisheria dhidi yake yaliyoonekana na Yaliwasilishwa na watu watatu wanaodaiwa kuwa waathirika wa ukandamizaji wa Iran dhidi ya wapinzani katika miaka ya 1980.Malalamiko ya kisheria . . .
Ujumbe wa walinda amani wa Umoja wa mataifa nchini Mali umemaliza muda wake baada ya kuhudumu kwa kipindi cha miaka 10, msemaji wa UN amethibitisha.Hatua hii imekuja baada utawala wa kijeshi nchini hu . . .
Waziri wa Uchukuzi wa Kenya, Kipchumba Murkomen ameiomba idara ya Polisi kuchunguza uwezekano wa hujuma katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi kufuatia giza la usiku usiku . . .
"Maadui sasa watalazimika kufikiria upya mikakati yao, kwa sababu vikosi vya Iran vimeimarisha nguvu zaidi", IRNA ilimnukuu kamanda mkuu wa jeshi la Iran, Jenerali Abdolrahim Mousavi, akisema.Iran ime . . .
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango ameshiriki Ibada ya Jumapili katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledochowska Kiwanja cha Ndege Dodoma leo D . . .
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu leo December 09,2023 ametoa msamaha kwa Wafungwa 2,244 ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Bara.Taarifa hiyo imetolewa leo na Waziri wa . . .
Mcheza Tennis mashuhuri duniani, John McEnroe, ameshinda kwa mara ya kwanza mchezo maalum wa Tennis Serengeti baada ya kumpiku mchezaji mwingine nguli ambaye ni mdogo wake Patrick McEnroe.Mchezo huo u . . .
Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), Mkoa wa Arusha, wamemkabidhi Tuzo ya Uongozi Uliotukuka, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John V.K Mongella, mara baada ya kuridhishwa na uongozi wake, unaokwend . . .
Serikali ya Uganda imekashifu uamuzi wa Marekani kuongeza vikwazo vya viza dhidi ya maafisa wake, ikiishutumu Washington kwa kushinikiza ajenda ya ushoga barani Afrika.Waziri wa mambo ya nje wa Uganda . . .
Wawakilishi kutoka Beijing na Brussels wanakutana hii leo kwa ajili ya mkutano wa kilele wa Umoja wa Ulaya na China katika mji mkuu wa China, Beijing baada ya miezi kadhaa ya mivutano ya kibiashara ba . . .
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, Jumanne amerejea wito wake wa kusitisha mapigano kwa ajili ya juhudi za kibinadamu katika Ukanda wa Gaza, akionya kwamba utulivu wa umma unaweza kus . . .
Timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania ‘Twiga Stars’ imefuzu kucheza fainali za Mataifa ya Afrika kwa upande wa soka la Wanawake WAFCON 2024 baada ya ushindi wa jumla wa magoli 3-2 dhidi ya Togo.Tw . . .
Rais wa Guinea-Bissau Umaro Sissoco Embalo amechukua uamuzi wa kulivunja Bunge lililokuwa linatawaliwa na upinzani.Hayo yanajiri baada ya kiongozi huyo kusema tukio la makabiliano ya risasi katika mji . . .
Jeshi la Israel limekanusha siku ya Jumanne madai ya kulitaka Shirika la Afya Duniani (WHO) kuondoa ghala la msaada wa matibabu kusini mwa Ukanda wa Gaza ndani ya saa 24, kama kiongozi wake alivyodai. . . .