logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • HABARI ZA MASTAA
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Habari Za Kiuchumi Na Biashara

  • Pata Habari Zote Za Biashara Na Uchumi
news
Uchumi | Biashara
  • Na JZ The Brand
  • February 8, 2022

TMA yaagizwa kubuni vyanzo vya mapato

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Uchukuzi), Dkt. Ally Possi, ameitaka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), kubuni vyanzo vya mapato ambavyo ni himiilivu na visivyoumi . . .

news
Viwanda
  • Na Asha Business
  • February 6, 2022

Kamati ya kudumu ya bunge viwanda na biashara yaiagiza SIDO

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira imelipongeza Shirika la kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) kwa kuendesha Mfuko wa Taifa Kuendeleza Wajasiliamali Wananchi (NEDF) kwa . . .

news
Kilimo
  • Na Asha Business
  • February 4, 2022

Saudi Arabia kuwekeza kwenye kilimo

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe wa wawekezaji kutoka Kiwanda cha Pioneers Chemical Factory ch . . .

news
Viwanda
  • Na Asha Business
  • February 2, 2022

Waziri Kijaji: Tanzania Itaendeleza Ushirikiano Wa Kibiashara Kati Ya Tanzania Na Uingereza

Waziri wa Uwekezaji Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini Mhe. David Concar kwa lengo la kuendeleza ushirikiano na Uinge . . .

news
Teknolojia
  • Na Asha Business
  • February 2, 2022

Dkt. Nchemba Ateta Na Chama Cha Watoa Huduma Za Simu Tanzania

Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) amekihakikishia Chama cha Watoa Huduma za Simu Tanzania (TAMNOA) kuwa Serikali itaendelea kuweka mazingira mazuri ya biashara yat . . .

news
Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • January 31, 2022

Tume Ya Madini Yaagizwa Kutafuta Madini

Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa ameiagiza Tume ya Madini kutafuta Masoko ya wanunuzi wakubwa wa madini ya Vito ndani na  nje ya nchi ili kuwawezesha  wachimbaji wa madini k . . .

news
Viwanda
  • Na Gsengo
  • January 28, 2022

TFRA YAWASHAURI WAKULIMA KUNUNUA MBOLEA KWA PAMOJA

SHEHENA: Shehena ya mbolea ikiwa katika moja ya maghala yaliyopo mkoani Mbeya tayari kwa matumizi wakati wa msimu wa kilimo.Mkaguzi wa mbolea Allan Mariki, akikagua ubora wa mbolea katika moja ya ghal . . .

news
Uchumi | Biashara Kimataifa
  • Na Gsengo
  • January 28, 2022

SERIKALI YAUHAKIKISHIA MGODI WA NYANZAGA MAZINGIRA RAFIKI YA UWEKEZAJI.

 Waziri wa Madini, Dkt. Doto Biteko amefanya mazungumzo na ujumbe wa viongozi kutoka mgodi wa Nyanzaga (Nyanzaga Mining Company Limited) uliopo Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza lengo ikiwa ni ku . . .

news
Teknolojia
  • Na JZ The Brand
  • January 28, 2022

Marekani yaipiga marufuku kampuni kubwa ya mawasiliano ya China kwa madai ya ujasusi

Kampuni ya Unicom ya China imekuwa kampuni kubwa ya hivi punde zaidi ya mawasiliano ya simu nchini China kupigwa marufuku kutoka Marekani kwa sababu ya wasiwasi "muhimu" wa usalama wa taifa na u . . .

news
Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • January 27, 2022

Watanzania tushikamane kuipa thamani Tanzanite – Waziri Mkuu Majaliwa

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka watanzania kushirikiana na kushikamana ili kuyapa thamani madini ya Tanzanite na kuifanya dunia nzima itambue kuwa madini ya Tanzanite yanapatikana Tanzania t . . .

news
Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • January 26, 2022

WATU MATAJIRI BARANI AFRIKA

Licha ya mlipuko wa virusi vya corona, watu matajiri barani Afrika wameongeza utajiri wao zaidi ya walivyokuwa miaka minane iliopita.Mabilionea wa bara hili kwa jumla walijipatia $84.9 bilioni i . . .

news
Uchumi | Biashara
  • Na Gsengo
  • January 6, 2022

MBUNGE MSAMBATAVANGU : VIJANA TENGENEZENI VIKUNDI VYA KIUCHUMI

 Mbunge wa jimbo la Iringa Mjini Jesca Msambatavangu amefanya mazungumzo binafsi na wajumbe wa baraza la vijana la wilaya ya Iringa Mjini chini ya Mwenyekiti wake Ndg Salvatory NgereraKatika mazu . . .

news
Top Story
  • Na Suzuki
  • January 2, 2022

MAKUSANYO TRILION 2.5 DESEMBA.

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema katika kipindi cha Mwezi December 2021 imekusanya TZS trilioni 2.51 kati ya lengo la kukusanya Tsh. Trilioni 2.29, makusanyo hayo yana ufanisi wa 109% na ndich . . .

news
Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 30, 2021

Waitara aagiza mgambo, JKT kukagua tiketi

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara ameagiza Mamlaka za Usafiri wa Ardhini (Latra) nchini kuendeleza zoezi la ukaguzi wa tiketi za abiria kwenye vituo vya mabasi vya mikoa  kwa kuwa . . .

news
Top Story
  • Na Jembefmtz
  • December 27, 2021

Kapu La Masta Shangwe Lasambaza Upendo Kwa Wakazi Wa Dar Es Salaam.

Mkuu wa Mauzo Vodacom Kanda ya Dar es Salaam na Pwani, Brigita Shirima (kushoto) akimkabidhi zawadi ya smart Tv mmoja kati ya washindi wa wiki ya tatu wa  promosheni ya " Show Love, Tule Shangweâ . . .

Kurasa 9 ya 10

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Matawi Yetu
  • Jembe Group
  • Jembe Development
  • Jembe Beach
  • Jembe Digital
  • Jembe DJ
  • Jembe Stage And Sound
  • Jembe Events
  • Jembe Ni Jembe Team

Habari Zaidi

  • Nchimbi aahidi madarasa na vituo vya afya Itilima

    • 10 masaa yaliopita
  • Akutwa ameuawa na mwili kutelekezwa kigoma

    • 11 masaa yaliopita
  • Mpinzani wa Museveni Besigye amegoma kuhudhuria kesi

    • 11 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode