Mkuu wa Mauzo Vodacom Kanda ya Dar es Salaam na Pwani, Brigita Shirima (kushoto) akimkabidhi zawadi ya smart Tv mmoja kati ya washindi wa wiki ya tatu wa promosheni ya " Show Love, Tule Shangweâ . . .
Tanzania imetoa masharti mapya ya usafiri kwa wasafiri wanaoingia na kutoka nchini humo kama hatua ya kudhibiti maambukizi ya virusi vya Covid -19.Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa W . . .
Mwakilishi wa Shirika la kimataifa la Utafiti la CIAT, Dkt. An Notenbaert (katikati) akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Dkt. Vincent Anney (kulia) kalenda ya Shirika hilo ya mwaka 2022 muda mfupi ba . . .
Mkuu wa Wilaya ya Temeke (DC), Jokate Mwegelo amesema anafurahishwa na namna ambavyo wawekezaji wanaonyesha imani na Serikali na kuzidi kutanua wigo wa biashara zao. Amesema hatua hiyo si tu inachanga . . .
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amefungua Kongamano la Uwekezaji lililofanyika katika ukumbi wa Golden Tulip Zanzibar leo tarehe 7 Desemba, 2021.Akihutubi . . .
Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya CRDB, Fredrick Nshekanabo akipokea tuzo ya mshindi wa jumla kwa uwasilishaji bora wa Taarifa za Fedha Nchini kwa viwango vya kimataifa, kutoka kwa Mhasibu Mkuu wa Serik . . .
Balozi wa zao la pamba nchini Aggrey Mwanri, ameamrisha shamba la Jeremia Kisumo na Laher Robert wakazi wa Mshinde, Kata ya Bung’wangoko, mkoani Geita livurugwe na waanze kupanda upya zao hilo, baad . . .
Na Mwandishi Maalum, MwanzaWajsasiliamali wametakiwa kuendelea kuboresha bidhaa zao ili kudhibiti soko la nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na hatimaye Afrika nzima, hususan katika kipindi hik . . .
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Amos Makalla amesema ukarabati wa Soko la Kariakoo lililoungua na Ujenzi wa Soko jipya la Ghorofa 6 utaanza baada ya December 09 baada ya Mkandarasi kupatikana.RC Makall . . .