1. KARIBU UTANGAZE BIASHARA AU SUALA LAKO NA SISI ... TUNAFIKIA WENGI NDANI NA NJE YA NCHI

  • MWANZA 93.7MH/z |
Jembe Burudani

Jennifer Lopez Alivyopoteza Uoni kwa Muda Baada ya Kufanya Kazi Siku 98 Mfululizo

Jennifer Lopez amefunguka kuhusu moja ya nyakati ngumu zaidi katika maisha yake ya kazi, akieleza jinsi alivyolazimika kukimbizwa . . .

Ndoa ya Zari na Shakib Cham yavunjika Baada ya Miaka Mitano

Mwanamitindo na mfanyabiashara maarufu, Zari Hassan, ametangaza rasmi kuachana na mume wake, Shakib Cham, baada ya kuwa pamoja kwa . . .

Jembe Michezo

Manchester United Yapata Eneo la Ujenzi wa Uwanja wa Watu 100,000

Klabu ya Manchester United imepiga hatua kubwa katika mpango wake wa kujenga uwanja mpya wa kisasa wenye uwezo wa kuchukua mashabi . . .

Aliyetimuliwa Man Utd Kuwa Kocha Mpya AC Milan ya Italia

Kocha raia wa Ureno, Ruben Amorim, anatarajiwa kuwa kocha mkuu mpya wa klabu ya Italia, AC Milan, baada ya kukubaliana kwa mashart . . .

Jembe Habari
Habari Zote
Kitaifa

Korti yaonya mwanajeshi wa zamani kukoma kutishia familia ya mke anayedaiwa kuua

MAHAKAMA imeamuru afisa wa zamani wa Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF), Kapteni mstaafu Edwin Muthomi Kaunga, kusitisha mara moja madai ya viti . . .

Kitaifa

Waziri Sangu awataka waajiri Kutumia fursa ya msamaha wa tozo wa NSSF

Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Sangu, amewataka waajiri nchini kutumia kikamilifu fursa ya msamaha wa toz . . .

Kitaifa

DCEA KANDA YA KASKAZINI YAFANIKIWA KUKAMATA WATUHUMIWA 550

.MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) Kanda ya Kaskazini imefanikiwa kukamata watuhumiwa 550 wa makosa mbalimbali yan . . .

Kimataifa

IMO yasitisha uhamishaji wa meli kupitia Mlango wa Hormuz

Shirika la Kimataifa la Safari za Baharini - IMO limesitisha kwa muda uhamishaji wa meli kupitia Mlango-Bahari wa Hormuz. Hii ni baada ya je . . .

matukio

Mamia wakamatwa kumbukumbu ya maandamano ya 2024

Polisi Kenya waliwakamata mamia ya watu na kufyatua mabomu ya kutoa machozi siku ya Alhamisi wakati familia za wahanga wa maandamano ya kupi . . .

Kimataifa

Côte d'Ivoire imeongezwa kwenye orodha ya nchi zilizo katika hatari ndogo ya madeni kupita kiasi

Ivory Coast sasa imeainishwa kama nchi iliyo katika hatari ndogo ya madeni kupita kiasi, kulingana na Wizara ya Uchumi na Fedha ya Côte d'I . . .