Waziri Mkuu Aongoza Mkutano Kazi Wa Mawaziri, Manaibu Mawaziri

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameongoza mkutano kazi wa Mawaziri, Makatibu Wakuu na Viongozi Waandamizi wa Serikali uliofanyika Januari 21, 2026, katika Ukumbi wa Kambarage, Hazina, jijini Dodoma.

Katika mkutano huo, viongozi hao wamejadili utekelezaji wa masuala mbalimbali ya Serikali yanayolenga uwekezaji kwenye sekta ya umma na binafsi katika kuchochea maendeleo ya nchini.

#10YrsJembefm  #Familiamoja #AhsantekwaTime

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii