Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Novemba 24 mwaka huu amekagua miundombinu ya usafiri wa mwendo kasi pamoja na mali nyingine ikiwemo nyingine zilivyoharibiwa kutokana na vurugu zilizotokea Oktoba 29 mwaka huu jijini Dar es Salaam.
Maeneo yaliyokaguliwa ni pamoja na Kituo cha Mafuta cha Puma ilichopo kimara baruti, vituo vya mwendo kasi vya Kimara Korogwe na Kimara Mwisho pamoja na kituo cha Mafuta cha Rupees kilochopo Kimara Stop Over.
#10YrsJembefm #Familiamoja #AhsantekwaTime