Mgombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM na Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, amewasili katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kwaajili ya kuhitimisha Kampeni za Uchaguzi mkuu mwaka 2025 .
Aidha Dkt. Samia yupo tayari kuhitimisha mikutano yake ya kampeni za Urais kupitia CCM baada ya kuzunguka nchi nzima katika kunadi Ilani ya Uchaguzi ya CCM (2025/30) Sera na Ahadi .
Hata hivyo Mgombea wa Rais Dkt.