TET na NECTA kujadili utekelezaji wa mitaala iliyoboreshwa

Taasisi ya Elimu Tanzania ( TET) na Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) wamefanya kikao cha pamoja kwa lengo la kujadiliana masuala mbalimbali juu ya utekekelezaji wa mitaala iliyoboreshwa ya Elimu ya Awali, Msingi, Sekondari na Ualimu. Makao makuu TET,Dares salaam leo Oktoba 27 mwaka huu.

 Mkurugenzi Mkuu Dkt. Aneth Komba ameongoza watendaji wa TET na upande wa NECTA, amewakilisha Katibu Mtendaji Prof. Said Mohamed ameongozana na watendaji wa NECTA kushiriki katika majadiliano yenye lengo la kuendelea kuboresha suala zima la elimu katika ngazi tajwa.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii