Kiongozi wa (CWT) Tanga achukua fomu kuwania ubunge jimbo la Korogwe mjini

Kiongozi wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Wilaya ya Tanga, Mwajuma Mohamed amechukua na kurejesha fomu ya kugombea ubunge katika Jimbo la Korogwe Vijijini.

Mwajuma ambaye ni Mjumbe Kitengo cha Walimu Wanawake Wilaya ya Tanga na mtoto wa mwanasiasa maarufu, Mzee Selemani Masangara, ni mtaaluma wa lugha na Mjumbe wa Bodi ya Chama cha Ukuzaji wa Kiswahili Duniani (CHAUKIDU).


Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii