Wakati mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea Jijini Dodoma, pamoja na mambo mengine leo Juni 12, 2025 kuanzia saa 10:00 jioni, Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba atawasilisha bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2025/2026.
Kabla ya kuwasilisha hotuba hiyo Bunge linatarajiwa kupitisha hali ya uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka wa fedha 2025/2026
Ili kupata taarifa zaidi endelea kutufuatilia kupitia website yetu ya www.jembenijembe.com kupitia Instagram ,Facebook, tikok,x zamani twitter pamoja na YouTube