Mwalimu Albert Kaguli (43) wa shule ya Msingi Kisokwe wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma amekutwa ameuwawa kwa kupigwa nan a kitu kizito kichwani.
"Tukio la leo kwa kweli ni tukio la huzuni na ote tupo katika majonzi ya kufikiria na kutafakari nini kilichotokea tamko au kauli ya serikali yetu ya wilaya hili ni tukio mbaya siku zote mnaelekezwa na jeshi la polisi ambao ndio wenye dhamana ya kulinda raia na mali zake"alisema DC Josephat Maganga
Aidha DC Josephat Maganga ameongeza kwa kusema"sheria mkononi marufuku,wote hapa mna hasira zenu vichwani mwenu serikali yetu hii inayoongozwa na mhe Rais inatuelekeza amani"