TIKTOK Yathibitisha Kujiondoa Marekani

TikTok yathibitisha kusitisha huduma Marekani ifikapo January 19,2025 kama Mahakama ikisimamia msimamo wake

Serikali ya Marekani iliipa Masharti TikTok kuuza hisa zake kwa Raia wa Marekani badala ya kumilikiwa kwa asilimia zote na kampuni mama ya China ByteDance

Ijumaa hii Mahakama itakaa kujadili kama wasogeze mbele tarehe ya kusitisha huduma ya TikTok Marekani au waendelee na utaratibu uliopo.

Kwa upande wa TikTok wapo tayari kusitisha huduma Marekani kuliko kuuza hisa kwa Mmarekani

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii