Baraza la Sanaa Tanzania BASATA usiku wa kuamkia leo limetangaza washindi wa tuzo muziki Tanzania (TMA) za mwaka 2022 jijini DaresSalaam.
Msanii @kontawaa amebeba tuzo ya mwanamuziki bora chipukizi tuzo za Tanzania Music Awards.
Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii
Follow Us
Subscribe