Leo jumanne ni siku ya kimataifa ya umja wa mataifa ya mshikamano na watu wa Palestina.
Katibu mkuu wa umoja wa mataifa Antonio Guterres alisema kuwa" tuko imara katika dhamira yetu ya kutimiza maono ya mataifa mawili ambayo ni Israel na Palestina kuishi bega kwa bega kwa amani na usalama , jerusalem ikiwa ni mji amkuu wa mataifa yote mawili . Amesema Antinio Gutteres
" kwa pamoja tuhakikishe uungaji mkono wetu kwa watu wa palestina katika azma yao ya kufikia haki zao zisiziweza kuondolewa na kujenga mustakbali wa amani, haki, usalama na utu kwa wote.