logo
  • Nyumbani
  • HABARI ZOTE
  • Habari
    • KITAIFA & KIMATAIFA
    • BIASHARA & UCHUMI
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
    • BURUDANI ZOTE
    • HABARI ZA MASTAA
    • JEMBE INTERVIEW
  • Zaidi
    • MAGAZETI YA LEO
    • MAKALA
    • VIDEO
    • MATUKIO
    • JEMBE FM TEAM
    • PARTNERS
BREAKING   
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .
DEVELOPING
Sikiliza Jembe FM Radio Online . . .

Habari Za Kiuchumi Na Biashara

  • Pata Habari Zote Za Biashara Na Uchumi
news
Uchumi biashara
  • Na JZ The Brand
  • February 28, 2022

DELLAH CAR TRADERS YATIMIZA MIAKA MITATU, YAFUNGUA OFISI MPYA SHINYANGA MJINI

Kampuni ya Uagizaji wa Magari aina zote nje ya nchi maarufu Dellah Car Traders Company imefungua rasmi Ofisi Mpya katika jengo la NSSF Mjini Shinyanga ikiwa ni sehemu ya sherehe ya kutimiza miaka mita . . .

news
Uchumi | Biashara
  • Na Asha Business
  • February 17, 2022

Wafanyabiashara marufuku kupanga bei

Katibu Mkuu Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Profesa Godius Kahyarara amesema licha ya serikali kutopanga bei, hata wafanyabiashara hawaruhusiwi kupanga bei. Katika taarifa ya Profe . . .

news
Viwanda
  • Na JZ The Brand
  • February 16, 2022

NEMC yaonya matumizi ya Dizel ya Viwanda

Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limeonya wamiliki wa vituo vya mafuta na wananchi kuepuka kununua dizeli inayozalishwa viwandani na kuitumia kwenye magari. NEMC . . .

news
Kimataifa
  • Na Asha Business
  • February 16, 2022

Umoja wa Ulaya wafikiria wauzaji wengine wa gesi asilia

Rais wa Halmashauri ya Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen amethibitisha kuwa jumuiya hiyo imechukua tahadhari kubwa endapo Urusi itasitisha usambazaji wa gesi katika ukanda huo. Kwa miezi kadhaa . . .

news
Top Story
  • Na Asha Business
  • February 16, 2022

Benki ya dunia yaonya mgogoro wa madeni kwa nchi zinazoendelea

Ripoti mpya ya Benki ya dunia inasema baadhi ya nchi maskini zaidi duniani zinakabiliwa na mzigo mkubwa wa madeni ambao unatatatiza juhudi za kujikwamua kutokana na mdororo wa uchumi uliosababishw . . .

news
Uchumi biashara
  • Na JZ The Brand
  • February 15, 2022

Benki ya NMB kuwakomboa Wamachinga, waweka makubaliano ya miaka mitano

Kwa mara nyingine tena, Benki ya NMB imeonyesha ni benki inayojali watu wa hali zote kiuchumi na kijamii, na leo imeungana na Shirikisho la Umoja wa Machinga Tanzania (SHIUMA) katika kuhakikisha w . . .

news
Viwanda
  • Na JZ The Brand
  • February 15, 2022

Pinda awahimiza wamiliki wa Viwanda Katavi kukata bima za biashara

Wafanyabiashara mkoani Katavi wametakiwa kukata bima kwa ajili ya kulinda biashara zao wakati wanapokabiliwa na majanga mbalimbali yanayotokana na moto, mafuriko pamoja na upepo hatua itakayosai . . .

news
Kitaifa
  • Na JZ The Brand
  • February 14, 2022

TRA kudhibiti ubora wa bidhaa kidigitali

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imepata mwarobaini wa kukabiliana na changamoto ya utambuzi wa bidhaa bandia baada ya kutangaza rasmi programu tumizi ya ‘Hakiki Stempu’.Kwa mujibu wa taarifa . . .

news
Uchumi | Biashara
  • Na JZ The Brand
  • February 14, 2022

Tozo za simu zimeingizia Tamisemi Sh320 bilioni kwa ajili ya Tarura

Fedha za tozo zimeingiza Sh320 bilioni katika Mfuko wa Barabara Mjini na Vijijini(Tarura). Fedha hizo zimepatikana na hivyo zinapelekwa kwenda kumaliza migogoro na changamoto ya barabara nyingi a . . .

news
Uchumi | Biashara
  • Na JZ The Brand
  • February 14, 2022

Mamlaka Ya Serikali Mtandao Yatekeleza Agizo La Rais Samia

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Jenista Mhagama ameipongeza Mamlaka ya Serikali Matandao (eGA) kwa kutengeneza mfumo utakaowezesha mifumo mbali . . .

news
Uchumi | Biashara
  • Na JZ The Brand
  • February 11, 2022

ZIC YAKUTANA NA MAWAKALA WAKE YAAHIDI KUBORESHA MAHUSIANO

SHIRIKA la Bima Zanzibar (ZIC) Februari 10 limekutana na kuzungumza na Mawakala na Madalali wa shirika hilo katika kikao kilichofanyika Hoteli ya Cate Jijini Dar es Salaam.Aidha Mkurugenzi Mten . . .

news
Kimataifa
  • Na JZ The Brand
  • February 10, 2022

Almasi nyeusi yenye umri wa mabilioni ya miaka yauzwa kwa dola milioni 3.16

Almasi nyeusi yenye umri wa mabilioni ya miaka inayoaminika kuwa almasi kubwa zaidi iliyokatwa duniani, imeuzwa kwa £3.16m.Kwa jina la The Enigma, jiwe hilo la thamani ya karati 555.55 ambalo lina . . .

news
Uchumi | Biashara
  • Na Gsengo
  • February 9, 2022

WAZIRI GWAJIMA AZINDUA KITUO CHA WATOTO SOKO LA MIRONGO MWANZA

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima Mapema ya leo Februari 09, 2022 akikata utepe kama ishira ya kuzindua Kituo cha Malezi na Makuzi kwa Watoto Mirong . . .

news
Uchumi | Biashara
  • Na JZ The Brand
  • February 9, 2022

Rais Wa Benki Ya AADB Ahaidi Neema Kwa Tanzania

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), ameishukuru Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) kwa kuahidi kutekeleza miradi mipya katika sekta mbalimbali ikiwemo ya kilimo n . . .

news
Uchumi | Biashara
  • Na JZ The Brand
  • February 9, 2022

CEO ROUNDTABLE WAWASILISHA MKAKATI WA SHIRIKA 2022-2025 UKIZINGATIA UENDELEVU NA ATHARI CHANYA

Akizungumza na vyombo mbalimbali vya habari Mkurugenzi mtendaji wa CEO ROUNDTABLE TANZANIA Ndugu Santina Benson, CEOrt inaongozwa na kanuni za uongozi wa kimaadili na inakuza ushirikiano kati ya sekta . . .

Kurasa 8 ya 10

  • Mwanzo
  • Nyuma
  • Mbele
  • Mwisho
  • Follow Us

  • Follow Us

  • Follow Us

  • Subscribe

Matawi Yetu
  • Jembe Group
  • Jembe Development
  • Jembe Beach
  • Jembe Digital
  • Jembe DJ
  • Jembe Stage And Sound
  • Jembe Events
  • Jembe Ni Jembe Team

Habari Zaidi

  • Kampuni ya ORYX GAS yaendelea kutoa elimu juu ya matumizi ya nishati safi

    • 3 masaa yaliopita
  • Fahamu umri mrefu wa watu wa zamani na tofauti ya kizazi cha sasa

    • 5 masaa yaliopita
  • Wawekezaji migodini watakiwa kuzingatia usalama Tanga

    • 7 masaa yaliopita

Habari Category

  • Habari Zote
  • Siasa
  • Michezo
  • Burudani
  • Habari Ndani Na Nje
  • Video
  • Uchumi Na Biashara
  • Magazeti
  • Makala

Wasiliana Nasi

JEMBE NI JEMBE GROUP ,
P. O. Box 1334,
PLOT NO.111/BLOCK "A"
HOUSE No:43 MAKONGORO STREET,
ILEMELA MWANZA - TANZANIA

info@jembenijembe.com

+ 255-786-385-475 ,
+ 255-716-385-475.

  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • STAFF LOGIN

POWERED BY

© Jembe Ni Jembe Companies.

Created And Maintained By XFoundationCode