EWURA imesema kwamba kupanda kwa bei ya mafuta mwezi Agosti yanatokana na changamoto za upatikanaji wa dola za Marekani, mabadiliko ya sera za kikodi, kushuka kwa thamani ya shilingi dhidi ya dola, on . . .
Baada ya ukame kukumba maeneo mengi ya nchi, wakulima wengi wa kitunguu waliokuwa wameenda hasara kubwa katika msimu wa Oktoba hadi Desemba waliogopa kupanda.“Lakini wale wachache waliothubutu kupan . . .
Mafuta ya petroli wilayani Kiteto mkoani manyara ambayo awali yalikuwa yakiuzwa kwa shilingi 2,930 kwa lita sasa yanauzwa shilingi 6,000 kwa lita baada ya kuadimika.Hali hii imeanza kuathiri wananchi . . .
Benki Kuu ya Tanzania imesema shilingi ya Tanzania ndiyo fedha pekee ambayo inaruhusia kutumika nchini, hivyo hakuna Mtu au Kampuni yoyote inayoruhusiwa kuikataa kwa malipo yoyote halali Taarifa . . .
Katibu Mtendaji wa Shirika la maendeleo ya jamii na viziwi (DCPO),Jafari Shabani akizungumza kuhusiana na mafunzo hayo.Benki kuu ya Tanzania (BoT) imetoa mafunzo ya kutambua noti halali kwa watu wa ma . . .
Pato la Taifa lafikia Sh. trilioni 200 kwa mwaka 2023 kutoka Sh. trilioni 163 ya mwaka 2021, Uchumi wa Tanzania sasa ni mkubwa kuliko baadhi ya nchi za Ulaya na ni wa 6 kwa ukubwa kwa nchi zote za Kus . . .
KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imesaini Mkataba wa Makubaliano (MoU) na wenyeji wake Halmashauri ya Mji Geita, Wilaya ya Geita pamoja na Halmashauri za jirani za wilaya za Chato, Bukombe . . .
. . .
Katibu Mkuu Sekta ya Uchukuzi, Bw. Gabriel Migire akizungumza na Wadau wa usafiri kutoka Taasisi za Kikanda za Usafirishaji Majini (ISCOS), Jijini Dar es.Nchi za Afrika zimetakiwa kuwekeza katika umil . . .
Wafanyabiashara wa jumla wa Nafaka hususani Mchele katika soko la Tandale Dar es salaam wamesema hatua ya serikali kutangaza kuagiza Mchele nje ya nchi ni nzuri lakini wameomba uletwe sampo kidogo waj . . .
Wakopeshaji wa kimataifa walisema, kwa uzalishaji wa kimataifa,( pato la jumla la taifa) makadirio ya ukuaji uchumi, hata hivyo bado yako chini ya wastani wa kihistoria kwa asilimia 3.8, uliorekodiwa . . .
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amesema kuwa Tanzania inaunga mkono mpango ulioanzishwa na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) la kuingiza masuala ya kijinsia kwenye utekeleza . . .
Mkuu wa Benki Kuu ya Ulaya Christine Lagarde amesema, uchumi wa kanda ya Ulaya utakuwa bora zaidi mwaka huu kinyume na ilivyohofiwa awali. Lagarde ameyasema haya huko Davos Uswisi kunakoendelea kongam . . .
Pakistan imesema Jumatatu kwamba Russia imeamua kuiuzia mafuta ghafi, petroli pamoja na dizeli kwa bei nafuu. Naibu waziri wa mafuta wa taifa hilo la kusini mwa Asia Musadik Malik, amesema hay . . .
Kamishna wa uendelezaji wa sekta ya fedha kutoka Wizara ya Fedha na Mipango Dr Charles Mwamwaja akizungumza na waandishi wa habari juu ya Maadhimisho ya wiki ya Huduma za Fedha yatakayofayika Kitaifa . . .