Marekani yaijibu Iran kuhusu pendekezo la kumaliza vita

Iran imesema imepokea jibu la Marekani kuhusu pendekezo lake la kumaliza vita, ingawa maelezo ya mawasiliano hayo bado hayajawekwa wazi. Hata hivyo, maudhui ya jibu hilo bado hayajawekwa wazi.

Katika hatua nyingine, jeshi la Marekani limetangaza kukamilisha uondoaji wa wanajeshi wake nchini Iraq, likihitimisha operesheni ya miaka 12 dhidi ya kundi linalojiita Dola la Kiislamu, IS.

Serikali ya Iraq imeitaja hatua hiyo kuwa ishara ya kuimarika kwa mamlaka yake. Donald Trump naye ameipongeza, akiitaja operesheni hiyo kuwa safari ya gharama kubwa kuelekea kuzimu.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii