Dkt.Samia:Amani ni hazina yetu kiuchumi na kijamii

Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kua amani iliyopo nchini ni hazina ya shughuli za kiuchumi na kijamii.


Dkt.Samia amesisitiza kuwa bila amani hakuna kujenga uchumi ala hakuna shughuli za kijamii ambapo ametoa kauli hiyo hii leo Aprili 21 ,2026 katika kongamano la mama na baba lishe lililofanyika katika kituo cha mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere  [ JNICC ] jijini Dar es saalam.


Hata hivyo ametumia jukwaa la kongamano hilo kwa kuwaomba Watanznia kuiendeleza amani ya Taifa letu.


10YrsJembefm  #Familiamoja #AhsantekwaTime

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii