Papa Leo XIV asafiri kuelekea Guinea ya Ikweta

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Leo XIV anasafiri Jumanne kuelekea Guinea ya Ikweta, kituo cha mwisho cha ziara yake ya siku 10 barani Afrika iliyomfikisha pia Algeria, Cameroon, Angola na Guinea ya Ikweta.

Aidha siku ya Jumatatu akiwa nchini Angola,  Papa Leo alilaani vitendo vya rushwa na unyonyaji unaofanywa na wenye nguvu dhidi ya wanyonge, na kwamba matumaini ya wengi yanakatishwa tamaa na ghasia zinazotumiwa ili kuwanufaisha matajiri.

Hata hivyo kiongozi huyo wa kiroho ametoa wito wa usambazaji wa haki wa rasilimali za Afrika akisema kuwa ukosefu wa haki unaharibu mioyo, huku mali za wengi zikimilikiwa na wachache.

10YrsJembefm  #Familiamoja #AhsantekwaTime

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii