Palamagamba Kabudi Kuirithi Mikoba ya Lukuvi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi, utenguzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali serikalini, sambamba na kumpangia kituo balozi mmoja, katika hatua inayolenga kuimarisha utendaji wa Serikali.

Katika mabadiliko hayo, Rais Samia amemteua Palamagamba Kabudi kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu ambapo nafasi hiyo awali ilishikiliwa na William Lukuvi kabla ya kufariki dunia.

Hata hivyo uteuzi huo unaonekana kuwa sehemu ya jitihada za Serikali ya Awamu ya Sita kuhakikisha ufanisi katika uendeshaji wa shughuli za umma na kuendeleza agenda za maendeleo ya taifa.

10YrsJembefm  #Familiamoja #AhsantekwaTime

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii