Rais Samia akutana na wagombea urais wa 2025

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan,  akiwa kwenye mazungumzo na wagombea wa nafasi ya urais na wagombea wenza kutoka vyama vya siasa 16 vilivyoshiriki Uchaguzi Mkuu uliofanyika mwezi Oktoba, 2025. 


Mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo Machi 31, 2026.

10YrsJembefm  #Familiamoja #AhsantekwaTime

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii