Donald Trump Atishia Kuiondoa Marekani NATO

Rais wa Marekani, Donald Trump amesema anaangalia uwezekano wa kuiondoa nchi hiyo katika NATO, akidai muungano huo hauna ufanisi wa kutosha licha ya kuonekana kuwa na nguvu.

Kauli hiyo imekuja kufuatia baadhi ya wanachama wa NATO kukataa kuingilia moja kwa moja mgogoro wa kijeshi dhidi ya Iran, hatua iliyozua mjadala mkubwa kuhusu mustakabali wa ushirikiano wa kijeshi kati ya Marekani na washirika wake wa Ulaya.

10YrsJembefm  #Familiamoja #AhsantekwaTime

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii