Washiriki wa mafunzo ya watengeneza maudhui mtandaoni (content creators) wameanza kujisajili leo katika Gold Crest Hotel, ambapo wanatarajiwa kupata ujuzi wa utayarishaji, usimamizi na kibiashara wa maudhui ya kidijitali.
Hata hivyo mafunzo haya yatasaidia washiriki kujitegemea kiuchumi kwa kutumia mbinu bora za kubiasharisha maudhui katika soko la kisasa la mtandaoni.
10YrsJembefm #Familiamoja #AhsantekwaTime