mshambuliaji wa Poland, Robert Lewandowski pale Bayern Munich unamalizika mwaka 2023, wakati mkongwe huyo mwenye miaka 33 akitaka mkataba mpya kusalia katika klabu hiyo ya Ujerumani, hakuna mazungumzo yaliyofanyika mpaka sasa. (Fabrizio Romano).
Mshambuliaji
wa Borussia Dortmund na Norway, Erling Braut Haaland hajakubali
kujiunga na Real Madrid katika dirisha lijalo la majira ya joto, kwa
mujibu wa mchezaji mwenzake na mshambuliaji wa zamani wa Middlesbrough
Jan Aage Fjortoft,21. (Mundo Deportivo)