Ujumbe wa Tanzania umefika mjini Geneva kuanza Mkutano wa 11 wa Nchi wanachama wa Mkataba wa WHO wa Kudhibiti Tumbaku

Ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umefika mjini Geneva tayari kuanza Mkutano wa 11 wa Nchi wanachama wa Mkataba wa WHO wa Kudhibiti Tumbaku (WHO FCTC COP11 ), unaofanyika Geneva , Uswiss tarehe 17–22 Novemba mwaka huu.

Ujumbe huu unaongozwa na Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa, Mheshimiwa Balozi Abdallah Saleh Possi, na unajumuisha wataalam kutoka Wizara ya Afya, Fedha, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kilimo, Uwekezaji, Viwanda na Biashara. Katika picha ni aliyekuwa Balozi wa Tanzania

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii