Zaidi ya watu milioni 22, wengi wao watoto, wako hatarini kufa kutokana na magonjwa yanayoweza kuzuilika ifikapo 2030 kwa sababu ya kupunguzwa kwa misaada ya Marekani na Ulaya.
Zaidi ya watu milioni 22, wengi wao wakiwa watoto, wanaweza kufa kutokana na magonjwa yanayoweza kuzuilika ifikapo mwaka 2030 kwa sababu ya kupunguzwa kwa misaadana Marekani na nchi za Ulaya, kwa mujibu wa utafiti mpya.
Matokeo haya ni nyongeza ya utafiti wa awali ulioangazia misaada ya Marekani pekee na kusema kuwa kupunguzwa kwa kiwango kikubwa na Rais Donald Trump kungeweza kusababisha vifo vya ziada vya watu milioni 14.
#10YrsJembefm #Familiamoja #AhsantekwaTime