Dkt.Samia awatunuku Kamisheni JWTZ Monduli

Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwavisha Bawa la Urubani wahitimu wa Urubani wakati wa hafla ya kutunuku Kamisheni kwa Maafisa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika Chuo cha Kijeshi Monduli Mkoani Arusha leo November 22 mwaka huu.

Hafla hiyo inawahusu kundi la 6 la mwaka 2022 waliomaliza Shahada ya Sayansi ya Kijeshi, pamoja na kundi la 72 la mwaka 2024.

#Familiamoja #AhsantekwaTime

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii