Dkt. Tulia "Mwili wa Ndugai Kuuagwa Viwanja vya Bunge Kabla ya Maziko Kongwa"

Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, ametangaza kuwa shughuli ya kumuaga Hayati Job Ndugai itafanyika siku ya Jumapili katika viwanja vya Bunge, Dodoma, kabla ya mwili wake kusafirishwa kwenda nyumbani kwake Kongwa kwa ajili ya maziko yatakayofanyika siku ya Jumatatu

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii