Simba yashika nafasi ya tano vilabu bora barani Afrika

Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika CAF limetoa orodha ya vilabu bora barani Afrika ya mwaka 2025.

Klabu ya Simba ya Tanzania imeshika nafasi ya tano katika orodha hiyo ikiwa ndiyo klabu kinara kwa nchi ya Tanzani ikizipiku klabu nyingine za Tanzania ikiwemo watano zao Yanga Sc wanaoshika nafasi ya 12 huku namungo ikishika nafasi ya 75.

Tano bora ya viwango vya Caf ni,

1. Al Ahly ya Misri

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii