Rais Samia Mgeni Rasmi Sherehe Ya Miaka 50 Ya Uhuru Wa Umoja Wa Visiwa Vya Comoro

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Mgeni Rasmi Madhimisho ya sherehe za Miaka 50 ya Uhuru wa Umoja wa Visiwa vya Comoro, leo tarehe 06 Julai, 2025.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii