Majaliwa ang'atuka kugombea nafasi ya ubunge Ruangwa

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ametangaza kutogombea tena ubunge wa Ruangwa, Mkoa wa Lindi.

Uamuzi wa Majaliwa umetangazwa leo Jumatano na Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Ruangweshimiwa Majaliwa amefika katika ofisi za chama  cha Mapinduzi Majaliwa amekuwa mbunge wa Ruangwa kwa miaka 15 mfululizo kuanzia mwaka 2010 na aliapishwa kuwa Wazo wa Tanzania, hayati Joseph Magufuli.

Ikumbukwe kuwa Dirisha la uchukuaji na urejeshaji fomu  za udiwani na ubunge kupitia  CCM lilifunguliwa  Juni 28,Mwaka huu  10:00 za jioni 

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii