RAPA CDQ KUTOKA NIGERIA AMEACHIA RASMI EP YAKE SADIKU

Hatimaye CDQ ametoa  EP Yake ya “SADIKU “ Ep ambayo amefanikiwa kuifanyia maandalizi ya muda mrefu sana iliyowashirikisha Masterkraft, Ayanfe, Jzyno, SirAHEEM & Fuji Legend Pasuma 

SADIKU, ni Hadithi ya Mtoto Aliyeahidiwa. Sio muziki tu, ni ujumbe. Ni,mnene. Ni kwa ajili ya mitaa na utamaduni. Katika utayarishaji wa kazi hii CDQ Anashirikiana na mtayarishaji bora Masterkraft, Mkali maarufu wa Fuji Pasuma, gwiji wa muziki wa Soulful Ayanfe, Mwanamuziki Mahiri wa Kiliberia Jzyno, Islambo na Siraheem kwa vipengele vinavyoongeza kina, moto na ladha  mpya. SADIKU si EP nyingine tu, ni mseto wa hip-hop, miondoko ya Afro, na miondoko  ya fuji unaovuma sana. EP hii ya CDQ inasimulia hadithi yake, mizizi yake, kufanikiwa  kwake. Na Inapatikana kila mahali katika vyanzo vyote vya kupakua na kusikiliza Muziki kama  Apple, Spotify, Audiomack, nk.

Story: Edna Elisha



Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii